Angola yafunga mpaka wake na DRC | Masuala ya Jamii | DW | 09.01.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Angola yafunga mpaka wake na DRC

Kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusababisha vifo kadhaa, nchi jirani ya Angola imeamua kufunga mipaka yake, lengo likiwa kuzuia ugonjwa huo usiingie nchini humo.

default

Ndugu wa wagonjwa walioambukizwa virusi vya Ebola wakijikinga ili kutoambukizwa ugonjwa huo.

Katika kufuatilia suala hilo Grace Kabogo alizungumza na Waziri wa Afya wa Kongo, Mwami Aujuste Mopiti na yeye alianza kwa kumueleza idadi ya watu waliokufa kutokana na ugonjwa huo hadi sasa.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com