1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii na Sylvia Mwehozi

Sylvia Mwehozi
4 Desemba 2020

Miongoni mwa yaliyotanda ni sakata la wabunge 19 waliovuliwa uanachama kutoka Chadema, Rais Museveni na mpinzani wake Bobi Wine washtumiana kuhusu vifo vya watu 54, Hatimaye Ethiopia yauruhusu Umoja wa Mataifa kupeleka misaada bila kuzuiwa katika jimbo la kaskazini la Tigray na huko Libya yafahamika kuwa kiasi ya wapiganaji mamluki 20,000 wamo humo wakipigana katika pande tofauti zinazozozana.

https://p.dw.com/p/3mEwX