1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matarajio ya Afrika na Tanzania kwenye mkutano wa Angola

25 Novemba 2025

Viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika wanaingia siku ya pili na ya mwisho ya mkutano wao wa kilele unaofanyika mjini Luanda, Angola. Je yapi matarajio ya Afrika na Tanzania kwenye mkutano huo? Ngwaru Maghembe ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.

https://p.dw.com/p/54CeI