1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.07.2018: Matangazo ya Asubuhi

Lilian Mtono
29 Julai 2018

Cambodia yafanya uchaguzi mkuu hii leo, huku serikali iliyoko madarakani ikiwa na matarajio makubwa ya kurejea, Rais wa Somalia aanza ziara yake ya kwanza nchini Eritrea, baada ya miaka 15, na rais wa Uturuki, Recep Tayipp Erdogan asema Uturuki haitishwi na vitisho vya Marekani.

https://p.dw.com/p/32FxV