1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.01.2021 - Matangazo ya Asubuhi

28 Januari 2021

Rais wa Urusi ametoa wito wa kuwepo mahusiano bora kati ya nchi yake na bara la Ulaya. Mawaziri wa mambo ya kigeni na ulinzi wa Ujerumani na Marekani wamefanya mazungumzo ya kwanza kwa njia ya simu. Rais wa Tanzania John Mafuguli ametilia shaka usalama wa chanjo za COVID-19

https://p.dw.com/p/3oVTX