1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.07.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

17 Julai 2021

Idadi ya waliokufa kwenye ghasia nchini Afrika Kusini imepindukia watu 212. Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema maafa ya mafuriko yaliyozikumba nchi za Ulaya hayakutarajiwa. Maandamano mapya ya umma kupinga hali ngumu ya uchumi yamezuka tena nchini Lebanon.

https://p.dw.com/p/3wbNt