1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zainab Ansell- Mwanamke anayeng´ara sekta ya Utalii Tanzania

5 Oktoba 2022

Zainab Ansell ni miongoni mwa wanawake wanaotajwa kuwa na mafanikio katika sektaya Utalii nchini Tanzania. Aliwekeza katika usafirishaji wa watalii na mahoteli na mwaka huu ametwaa tuzo ya Mtembezaji Bora wa Utalii Tanzania kwa mwaka 2022.

https://p.dw.com/p/4HnhB