1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyovuma mtandaoni kuhusu haki za wanawake

Elizabeth Fredrick Shoo10 Machi 2017

Kufuatia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Elizabeth Shoo anakusimulia juu ya kisa kinachomhusu mbunge wa bunge la Umoja wa Ulaya aliyezua gumzo mtandaoni kwa maneno yake ya kukejeli wanawake, lakini pia anazo habari za kutia moyo kutoka India – juu ya kampeni ya Wizara ya Wanawake nchini humo inayokumbusha jamii kuwa wanawake na wanaume wote ni sawa.

https://p.dw.com/p/2YwZs
Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi