Waziri Mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif avuliwa madaraka | Media Center | DW | 28.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Waziri Mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif avuliwa madaraka

Yanayojiri ulimwenguni: Waziri Mkuu wa Pakistan Nawaz Sharif ajiuzulu kwa madai ya rushwa. Hali bado ni tete katika eneo takatifu linalozozaniwa mjini Jerusalem. Na Senegal inachagua bunge siku ya Jumapili. Papo kwa Papo 28.07.2017.

Tazama vidio 01:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)