″Watu bado wako mashakani lakini maisha yaendelea″ | Masuala ya Jamii | DW | 23.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

"Watu bado wako mashakani lakini maisha yaendelea"

Baada ya watu wasiopungua 31 kuuliwa katika mashambulio ya kigaidi Brussels, Manirabona Vianey ambaye ni mkazi wa jiji hilo anaelezea hali ya mambo, maisha yalivyo kwa sasa na usalama ulivyoimarishwa.

Sikiliza sauti 03:12
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Manirabona Vianey katika mahojiano na Isaac Gamba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com