1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakristo Zanzibar washerehekea Pasaka

Salma Said MMT
6 Aprili 2023

Wakristo wa Zanzibar wanaungana na Wakristo wenzao duniani kote katika kuadhimisha sikukuu ya Pasaka ambayo ni kumbukumbu ya kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya miaka 2000 iliyopita. Ungana na Salma Said.

https://p.dw.com/p/4Pm9x