Wakili: Polisi hawataki kumpa Tundu Lissu haki zake | Matukio ya Afrika | DW | 21.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wakili: Polisi hawataki kumpa Tundu Lissu haki zake

Fatma Karume, wakili wa mbunge wa CHADEMA Tundu Lissu, asema hakuna ushahidi kwamba Lissu amefanya uchochezi. Ni baada ya mteja wake kukamatwa na polisi akishutumiwa kutoa maneno ya uchochezi.

Sikiliza sauti 08:28
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na wakili Fatma Karume

                

Sauti na Vidio Kuhusu Mada