Wahanga wa bwawa lililopasuka kenya wasaidiwa na EU | Media Center | DW | 14.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wahanga wa bwawa lililopasuka kenya wasaidiwa na EU

Umoja wa Ulaya watoa yuro millioni 1.5 kuwasaidia wahanga walioathirika kufuatia kupasuka kwa bwawa jijini Nairobi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Fedha za Umoja wa Ulaya zimenuiwa kununua mahitaji ya dharura ya kuzisaidia familia za wahanga.Watu 45 wamepoteza maisha kufuatia kupasuka bwana hilo.

Tazama vidio 00:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)