1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyama vya upinzani Kenya; Wiper na CCM vyajiunga na Jubilee

Thelma Mwadzaya18 Juni 2020

Dau la upinzani nchini Kenya linasesereka baada ya vyama viwili tanzu kujiondoa na kutangaza kushirikiana na chama tawala cha Jubilee. Kutokana na hilo muungano wa upinzani wa NASA huenda ukavunjika.

https://p.dw.com/p/3dyUL