Vita vya Syria vyatimiza miaka 8 | Media Center | DW | 15.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vita vya Syria vyatimiza miaka 8

Vita vya Syria vinaingia mwaka wake wa nane, huku jeshi la Urusi likisema limeongeza muda wa usitishaji mapigano kwa sababu za kibinaadamu kwa siku mbili zaidi katika eneo la Ghouta Mashariki, kando kidogo ya mji mkuu, Damascus, ingawa vikosi vya serikali vinaendelea na mashambulizi ya makombora na mabomu. Angalia vidio hii fupi ya hali ilivyo sasa Syria na kisha tupe maoni yako.

Tazama vidio 00:57
Sasa moja kwa moja
dakika (0)