Vipindi vya Noa Bongo vyaanza kurekodiwa mjini Mombasa | Masuala ya Jamii | DW | 08.04.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Vipindi vya Noa Bongo vyaanza kurekodiwa mjini Mombasa

Ni katika juhudi za kuihamasisha jamii kuhusu maswala mbalimbali

Ipo haja ya jamii ya kujifunza kuhusu mchezo wa kandanda

Ipo haja ya jamii ya kujifunza kuhusu mchezo wa kandanda

Shirika la habari la Deutsche welle linaendelea kuihusisha jamii kwa kuuhamasisha umma kupitia vipindi vya kuelimisha na kuburudisha vya Noa Bongo Jenga Maisha Yako. Miongoni mwa mada zinazozingatiwa safari hii ni mchezo wa kandanda.

Kwa wakati huu mwandishi wetu Thelma Mwadzaya yupo mjini Mombasa Kenya kuandaa vipindi hivyo. Peter Moss amezungumza naye hivi punde na kwanza anaelezea jinsi shughuli zinavyoendelea.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com