1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushawishi wa mitindo ya mavazi shuleni

Bruce Amani
3 Februari 2020

Sare ni kitu muhimu sana kinachotumika kama utambulisho wa mwanafunzi. Lakini sasa, kuna mitindo ya mavazi ambayo kwa muda mrefu inashuhudiwa miongoni mwa wanafunzi na hasa wa shule za sekondari. Ungana na Bruce Amani usikie jinsi fesheni ilivyopenya mashuleni.

https://p.dw.com/p/3XCdP