Usafiri wakwama kivuko cha Likoni, Mombasa | Media Center | DW | 09.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Usafiri wakwama kivuko cha Likoni, Mombasa

Usafiri wa feri wakwama kivuko cha Likoni mjini Mombasa, Kenya kutokana na mvua kubwa. Wajumbe wa mataifa mbalimbali wakutana mjini Bonn, Ujerumani kujadili namna ya kutekeleza mpango wa Paris 2015 wa kupunguza uzalishaji wa hewa chafu. Na, Korea Kusini yapiga kura kuchagua rais mpya.

Tazama vidio 01:43