SiasaUmoja wa Mataifa kupigia kura azimio kusitisha mzozo wa SyriaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaLilian Mtono23.02.201823 Februari 2018Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Ijumaa hii linapigia kura rasimu ya azimio linalohimiza mpango wa kusitisha mapigano kwa siku 30 nchini Syria ili kuruhusu misaada ya kiutu.https://p.dw.com/p/2tDCsMatangazo