Umauzi wa mahakama kumtia Derek Chauvin hatiani wapongezwa | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Umauzi wa mahakama kumtia Derek Chauvin hatiani wapongezwa

Maelfu ya watu Marekani wamepongeza uamuzi wa majaji 12 ambao umemtia hatiani polisi wa zamani wa Minneapolis kuhusiana na kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd. Hata hivyo wanasema safari ya kutafuta haki kamili bado ni ndefu.

Tazama vidio 01:49