Ujerumani kuendelea kusaidia wakimbizi, Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 02.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ujerumani kuendelea kusaidia wakimbizi, Tanzania

Serikali ya Ujerumani imeahidi kuendelea kutoa misaada kwa wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanaohifadhiwa nchini Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Regine Hees. Prosper Kwigize alituletea ripoti hii kutoka Kigoma

Sikiliza sauti 02:29