Uganda yakiuka amri ya kumkamata Bashir | Matukio ya Afrika | DW | 14.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Uganda yakiuka amri ya kumkamata Bashir

Kwa mara nyingine rais wa Uganda Yoweri Museveni amelipinga agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC kutaka kumtia nguvuni rais wa Sudan Omar al Bashir. ICC inataka Bashir ajibu shutuma za uhalifu wa kivita.

Sikiliza sauti 02:43
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala

              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com