Ufugaji pweza wawainua wakazi wa Tumbatu | Media Center | DW | 06.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ufugaji pweza wawainua wakazi wa Tumbatu

Chini ya mradio huo pweza hufungwa miezi mitatu baadae ndio huvuliwa wakiwa na ukumbwa kutoka kilo tatu hadi kilo sita. Mradi wa uvunaji wa pweza kisiwani Tumbatu umewasaidia wananchi wa kisiwa hicho na zaidi wanawake wa Tumbatu kutokuwa tegemezi ka wenyewe wanathibitisha hilo.

Tazama vidio 02:48