1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tundu Lissu kurejea Tanzania ndani ya miezi mitatu ijayo

Sudi Mnette
9 Juni 2022

Baada ya serikali ya Tanzania kusema hali ya nchi ni salama na kwamba waliolikimbia taifa hilo warejee nchini, makamo mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu, anaeishi Ubelgiji baada ya kujeruhiwa vibaya kwa risasi mwaka 2017 amesema atarejea Tanzania ndani ya miezi mitatu toka sasa kufuatia wito wa serikali. Sudi Mnette amemhoji Lissu ambaye kwanza anatoa ufafanuzi wa kurejea kwake.

https://p.dw.com/p/4CUWX