Tundu Lissu atuma shukrani kutoka Nairobi | Matukio ya Afrika | DW | 18.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tundu Lissu atuma shukrani kutoka Nairobi

Tanzania: Mbunge kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, ameanza kupata nafuu baada ya kupigwa risasi. Ametoka ICU na kuwashukuru wote waliomsaidia kwa maombi na matibabu na michango mingineyo.

Sikiliza sauti 02:44
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Sikiliza sauti ya Tundu Lissu

                 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada