Tundu Lissu akamatwa | Matukio ya Afrika | DW | 07.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tanzania

Tundu Lissu akamatwa

Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amekamatwa na anatarajiwa kufikishwa mahakamani Dar es Salaam kwa mashtaka yasiyojulikana. DW imezungumza na Salim Mwalimu wa CHADEMA.

Sikiliza sauti 02:26
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA azungumza

               

Sauti na Vidio Kuhusu Mada