Trump apewa choo cha dhahabu | Media Center | DW | 26.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump apewa choo cha dhahabu

Jumba moja la makumbusho mjini New York, Marekani liitwalo Guggenheim limejitolea kumpa Rais wa Marekani Donald Trump choo cha dhahabu. Choo hicho kimepewa jina "America." Papo kwa Papo.

Tazama vidio 00:51