Tarime yapambana na ukeketaji | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 02.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Haki za Wasichana

Tarime yapambana na ukeketaji

Mila za kukeketa wasichana Tanzania bado zipo licha ya elimu kutolewa. Mwaka 2016 zaidi ya mabinti 800 wa Wilaya ya Tarime pekee walikeketwa na wengine 300 wakikimbia majumbani wakogopa kukeketwa.

Sikiliza sauti 03:39
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mapmabano dhidi ya ukeketaji Tarime

Wasichana waliokeketwa wakitembezwa mitaani Wilayani Tarime (DW/V. Natalis)

Mabinti wa koo mbali mbali za kabila la Kikurya waliotoka kufanyiwa ukeketaji wakiwa wanatembezwa barabarani kama ishara kuwa wamekamilika baada ya kukeketwa.

                       

Bango la kupinga ukeketaji (DW/V. Natalis)

Bango la kupinga ukeketaji

Maandamano ya kupinga ukeketaji Wilayani Tarime (DW/V. Natalis)

Mabinti kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na nchi jirani ya Kenya wakiwa wamehifadhiwa katika kambi ya Masanga TFGM baada ya kukimbia kukeketwa. Wamebeba mabango yenye ujumbe wa kupinga mila ya ukeketaji.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com