1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yatetea malalamiko ya ukiukwaji wa haki za binadamu

Deo Kaji Makomba12 Novemba 2019

Serikali ya Tanzania imekana ripoti ya shirika la kutetea haki za binadamu la Human Right Watch, inayokosoa serikali hiyo inavyoyashughulikia masuala ya haki za binadamu, demokrasia na utawala bora. Mbunge wa chama cha upinzani Ally Saleh aliibua suala hilo bungeni.

https://p.dw.com/p/3Srxz