Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Tamasha la 19 la Sauti za Busara lamalizika kwa mafaniko mjini Unguja huko visiwani Zanzibar. Unagana na Yakub Talib katika vidio ifuatayo.
Masheikh wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) waliokuwa wanashikiliwa kwa miaka tisa sasa katika magereza ya Ukonga Dar es Salaam hatimaye wameachiwa huru.
Katika mfululizo wa kuomboleza na kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, leo ilikuwa ni zamu ya Zanzibar ambako jeneza lenye mwili wa Magufuli lilipokelewa Mjini Unguja.
Aliyekuwa makamu wa rais wa Tanzania bi Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi leo Ijumaa kuwa rais wa Tanzania.
Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki jana amezikwa leo kijijini kwao Nyali Mtambwe Mkoa wa Kaskazini Pemba.