1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 17.07.2022

17 Julai 2022

Urusi yaanzisha tena mashambulizi yake katika eneo la Donbass Mashariki mwa Ukraine, kampuni ya nishati ya Urusi Gazprom yailaumu kampuni ya Ujerumani siemens kwa kukosekana kwa sehemu muhimu ya mtambo unaohitajika kuanzisha tena usambazaji wa gesi asilia barani Ulaya na mkutano wa G20 nchini Indonesia wakamilika bila ya tamko rasmi

https://p.dw.com/p/4EFHZ