1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 06.08.2022

6 Agosti 2022

Ukraine na Urusi zashtumiana kuhusu mashambulizi ya makombora katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia, meli tatu zaidi za nafaka zaondoka katika bandari za Bahari Nyeusi za Ukraine na China yatangaza kumuekea vikwazo spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi

https://p.dw.com/p/4FCdX