1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 16.07.2018

Sylvia Mwehozi
16 Julai 2018

Tuliyo nayo: Ufaransa wameshinda kombe la dunia 2018 baada ya kuwatandika Croatia mabao 4-2. Rais Donald Trump amezitaja Nchi za Umoja wa Ulaya, Urusi na China kuwa ni maadui wa Marekani. Na Ujerumani iko tayari kuwapokea wahamiaji 50 kati ya 450 waliochukuliwa katika bahari ya mediterenia.

https://p.dw.com/p/31VUy