1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 12.02.2019

Sylvia Mwehozi
12 Februari 2019

Wabunge nchini Marekani wamesema wamefikia makubaliano ya ufadhili wa serikali .Kiongozi wa chama cha Christian Democratic Union CDU amesema chama hicho hakitarudia makosa ya mgogoro wa wakimbizi wa mwaka 2015.Msimamizi mkuu wa Umoja wa Ulaya katika mazungumzo ya Brexit amtaka waziri mkuu Theresa May, kuidhinisha makubaliano ya kudumu ya umoja wa forodha.

https://p.dw.com/p/3DBKe