1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 08.09.2019

Sudi Mnette
8 Septemba 2019

Rais Trump asitisha mazungumzo ya amani ya Taliban na Afghanistan. Waziri mkuu wa Uingereza apata pigo baada ya kukimbiwa na waziri mwingine na Rais wa Nigeria atakwenda Afrika Kusini, kupunguza msuguano kuhusu chuki dhidi ya wageni.

https://p.dw.com/p/3PE97