1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 05.08.2021

Josephat Charo
5 Agosti 2021

Umoja wa Mataifa wasema una wasiwasi kuhusu usalama wa raia Lashkar Gah, Afghinsitan. Israel yayashambulia maeneo yalikotokea maroketi nchini Lebanon. Mamia ya watu wahamishwa kutokana na moto nchini Uturuki.

https://p.dw.com/p/3yYxI