Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki) | Media Center | DW | 14.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Sikiliza sauti 08:00

-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linaloilaani Israel kwa matumizi ya nguvu za ziada dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina.

-Maandalizi yamekamilika nchini Urusi kwa ajili ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia jioni ya leo.

-Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo anatarajiwa nchini China, akiendelea na safari ya kufafanua kilichojiri katika mkutano baina ya Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.