30 Mei 2017
Matangazo
Waasi na raia wapatao 1000 wamehamishwa kutoka kitongoji cha Barzeh mjini Damascus, na kuuacha udhibiti wa mji huo mkuu wa Syria mikononi mwa serikali ya Rais Bashar al-Assad, Waziri Mkuu wa India Narendra Modi yuko ziarani nchini Ujerumani kupigia debe biashara na uwekezaji, Msemaji wa serikali ya DRC Lambert Mende ni miongoni mwa maafisa 9 waandamizi wa Kongo waliowekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya