Taarifa ya Habari Asubuhi 27.08.2021 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taarifa ya Habari Asubuhi 27.08.2021

Rais wa Marekani, Joe Biden amesema operesheni ya kuwaondoa raia wa Marekani nchini Afghanistan haitokwamishwa na magaidi // Umoja wa Mataifa umeonya kwamba mzozo wa Ethiopia unasambaa nje ya Tigray // Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani barani Afrika WHO, Dokta Matshidiso Moeti amesema bara hilo limefanikiwa kuongeza mara tatu zaidi idadi ya watu waliochoma chanjo ya virusi vya corona

Sikiliza sauti 08:00