1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 12.07.2021

12 Julai 2021

Kundi la watu wanaotuhumiwa kumuua Rais wa Haiti, Jovenel Moise limesema walitaka kumkamata kiongozi huyo na sio kumuua // Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakuna sababu ya kufanya vurugu kupinga hatua ya kufungwa kwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma // Timu ya taifa ya Italia imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Ulaya - Euro 2020

https://p.dw.com/p/3wLZZ