Polisi nchini Sweden wamemkamata mwanaume wa pili anayeshukiwa kuhusika katika shambulio la lori siku ya Ijumaa, Marekani imeonya kwamba inaweza kuchukua hatua zaidi kuishambulia Syria. Na Rais Joseph Kabila amemtangaza Bruno Tshibala kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.