1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yakabiliwa na shinikizo kuchukua msimamo Gaza

23 Julai 2025

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anazidi kukabiliwa na shinikizo la kumtaka achukuwe msimamo mkali dhidi ya Israel huku washirika wa serikali yake mwenyewe wakimtolea mwito aliunge mkono tamko la kimataifa lililosainiwa na mataifa mbali mbali ikiwemo 28 ya Magharibi kuitaka Israel ikomeshe kabisa vita Gaza.

https://p.dw.com/p/4xuXP