1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serengeti- Safari kuelekea kusikojulikana

17 Aprili 2014

Kwa zaidi ya miaka 50 wanaharakati wa haki za wanyama wamekuwa wakipambana kuinusuru Serengeti.

https://p.dw.com/p/1Bk29

Kwa zaidi ya miaka 50 wanaharakati wa haki za wanyama wamekuwa wakipambana kuinusuru Serengeti. Lakini mabadiliko ya tabianchi, kuongezeka kwa idadi ya watu na ujangili vimeiaathiri pakubwa mbuga hii ambayo ni mkusanyiko wa spishi mbalimbali za wanyamapori barani Afrika.