1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sakata la trilioni 1.5 za Tanzania, bil. 200 ziko Zanzibar

24 Aprili 2018

Baada ya kuwepo kwa hofu ya kutoweka kiasi cha shilingi trilioni 1.5 za Kitanzania, hatimaye Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji alitolea ufafanuzi na kusema kiasi cha shilingi bilioni 203 kilikusanywa kama kodi kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika Kinagaubaga Sudi Mnette amezungumza na mwanasheria mkuu wa zamani wa visiwa hivyo Othman Masoud Othman.

https://p.dw.com/p/2wYLX