Rais Thabo Mbeki wa Afrika Kusini amekuweko Tanzania tangu jana ambako amefanya mazungumzo na mwenzake, Rais Jakaya Kikwete, hasa kuhusu masuala ya kibiashara baina ya nchi zao mbili na miradi ya maendeleo ya ule mpango wa NEPAD.
https://p.dw.com/p/CHGp
Matangazo
Mwandishi wetu Badra Masoud kutoka Dar es Salaam, amezungumza na Othman Miraji juu ya umuhimu wa ziara hiyo.