Rais al-Sisi wa Misri ziarani Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 15.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rais al-Sisi wa Misri ziarani Tanzania

Abdel Fattah al-Sisi amekamilisha ziara yake ya siku mbili Tanzania, huku ajenda ya kuutafutia ufumbuzi mzozo wa matumizi ya Mto Nile ikiwa moja ya mambo aliyokubaliana nayo na mwenyeji wake, Rais Magufuli.

Sikiliza sauti 03:01
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam

Baada ya kutoka Tanzania, al-Sisi ameelekea Rwanda kwa ziara ya siku mbili nchini humo. Balozi wa Misiri nchini Rwanda Namira Negm amesema zira hii inalenga kuleta ukurasa mpya baina ya Misri na nchi nyingine za kiafrika. Rais Sisi amekwenda Rwanda baada ya Tanzania katika ziara ambayo itampeleka pia kwenye nchi za Chad na Gabon. 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com