Polisi: Ulinzi Zanzibar ni imara | Matukio ya Afrika | DW | 21.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Polisi: Ulinzi Zanzibar ni imara

Siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu, Kamishna wa Polisi wa Zanzibar, Hamdani Omar, amewahakikishia wananchi kwamba jeshi lake limejipanga kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao.

Aidha, kamishna huyo amewahakikishia raia kwamba hakuna mtu atakayedhuriwa na makundi yaliyokuwa yameibuka katika siku za uandikishaji wapigakura.

Sikiliza mahojiano kati ya Mohammed Khelef na Kamishna Hamdani akiwa ofisini kwake, Ziwani mjini Zanzibar, ambapo kwanza anazungumzia namna jeshi hilo lilivyojipanga.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada