Polepole aifafanuwa ′twiti′ ya mwisho wa kupokea wahamaji kutoka upinzani | Media Center | DW | 08.10.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Polepole aifafanuwa 'twiti' ya mwisho wa kupokea wahamaji kutoka upinzani

Kauli ya katibu mwenezi wa chama tawala cha CCM nchini Tanzania, Humprey Polepole, kuwa mwaka 2018 ndio mwisho kwao kufanya chaguzi ndogo za ubunge kwa wanachama wanaohama vyama vyao na kujiunga na chama chake imezua gumzo kubwa juu ya kilicho nyuma ya kile kiitwacho 'hamahama' na Saumu Mwasimba amemsaka kutaka ufafanuzi wake.

Sikiliza sauti 11:46