1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la maji Ziwa Tanganyika laathiri biashara Kigoma

19 Septemba 2024

Wakaazi wa kigoma wanashuhudia athari za mabadiliko ya tabia nchi kufuatia ongezeko la kina cha ziwa Tanganyika. Miundo mbinu na makazi yamevamiwa na maji ya ziwa na kusababisha baadhi ya watu kuhama pembezoni mwa ziwa hilo. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4krDC
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio