1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kwa kiasi gani miziki ya nchini mwako inathaminika?

12 Februari 2019

Kuna mjadala uliozuka nchini Kenya kwamba miziki inayotengenezwa na wasanii wa nchini humo haisikilizwi sana, tofauti na ile inayotengenezwa nje. Inadaiwa kwamba wadau wa muziki hawaipigii debe miziki ya ndani.. Hali ikoje hapo nchini mwako? Miziki ya ndani inapewa nafasi kubwa? Sikiliza kwanza Vijana Mchakamchaka, vijana wanasemaje?

https://p.dw.com/p/3DBvE